Utekelezaji wa Sheria ya Ardhi ya Kaunti ya Kiambu mwaka wa 2016 uliibua maswali yanayokinzana na mahitaji ya wamiliki wa ardhi huria. Wamiliki wote wa ardhi wanatakiwa kisheria kulipa ada ya ardhi, ingawa viongozi wa awali wa kaunti hawakutekeleza agizo hilo. Zoezi hilo sasa linatarajiwa kuendelezwa wakati wawakilishi wadi wanapojiandaa kurejea katika vikao vya bunge. Hebu tuskize maelezo zaidi.
コメントを書く